Episode's summary
Kwame anafurahia kurudi kwenye kituo cha utafiti ambapo Profesa Omar anamwelezea Natalie kuhusu utafiti wake....
Kwame anafurahia kurudi kwenye kituo cha utafiti ambapo Profesa Omar anamwelezea Natalie kuhusu utafiti wake....
Episodes
Kwame arudi kwenye kituo cha utafiti,.
ListenedKwame anafurahia kurudi kwenye kituo cha utafiti ambapo Profesa Omar anamwelezea Natalie kuhusu utafiti wake....
Hatimaye Profesa awa huru,Kwame apongezwa
ListenedHatimaye Prosefa Omar aokolewa,watekaji nyara watiwa nguvuni na Kwame apongezwa na kila mtu kwa ushujaa wake wa kufatilia hadi kufanikisha Profesa Omar anapatikana.
Polisi yawaweka chini ya ulinzi watekaji nyara kabla ya kumuokoa Profesa Omar...
ListenedProfesa anakutwa hoi,Kwame anawashawishi askari polisi kuwatia nguvuni watekaji kabla hawajatoroka au kuwadhuru.
Kwame na polisi wanafanikiwa kufika katika eneo aliloshikiliwa Profesa Omar
ListenedKwame na polisi wanakubaliana kumtanguliza Kwame mahali aliposhikiliwa Profesa Omar ili kuhakikisha usalama wake kabla ya kumuokoa na kuwatia nguvuni watekaji nyara...
Kwame afanikiwa kuwashawishi polisi na kuondoka nao..
ListenedSafari hii,Polisi wanamzuia Kwame kumpata Profesa Omar akiwa peke yake.Wanampangia njama kali asifanikiwe,lakini anafanikiwa kuwashawishi na kuambatana nao kuelekea katika dimbwi la Garkoe kumwokoa Profesa Omar.....fuatilia